MHANDISI KUNDO AKAGUA UJENZI WA JENGO JIPYA LA KITUO CHA MKONGO WA TAIFA WILAYA YA USHIROMBO NA JENGO JIPYA LA MKONGO WA TAIFA CHATO.
Na,Mwandishi wetu-Geita
Picha za matukio mbalimbali ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Methew (Mb) alipokuwa katika ziara yake ya kikazi Mkoa wa Geita, akikagua ujenzi wa jengo jipya la kituo cha Mkongo wa Taifa wilaya ya Ushirombo na jengo jipya la Mkongo wa Taifa Chato.
Tags:
Habari