MHANDISI KUNDO AKAGUA KITUO KIPYA CHA MKONGO WA TAIFA BUKENE NA MNARA MPYA WA TTCL KIJIJI CHA KITANGILI MKOANI TABORA
Na,Mwandishi wetu
Picha za matukio mbalimbali ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Methew (Mb) alipokuwa katika ziara yake ya kikazi Mkoa Tabora, wilaya ya Nzega akikagua ujenzi wa mnara wa Halotel katika Kijiji cha Sigili kata ya Bilende, Kituo kipya cha Mkongo wa Taifa Bukene na mnara mpya wa TTCL Kijiji cha Kitangili.
Tags:
Habari