MAKAMPUNI ZAIDI YA 482 YATATULIWA CHANGAMOTO KUPITIA KLINIKI YA BIASHARA NA TANTRADE




MAKAMPUNI ZAIDI YA 482 YATATULIWA CHANGAMOTO KUPITIA KLINIKI YA BIASHARA NA TANTRADE

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Latifa Khamis amesema takribani zaidi ya Makampuni ya biashara 482 yamepata misaada ya kibiashara huku akiweka bayana kuwa makampuji hayo yameyagundua yanachangamoto ya usajili.

Akizungumza na waandishi habari machi 13, 2025 jijini Dodoma, Latifa amesema kupitia kliniki ya biashara wafanya biashara wengi wameweza kutatuliwa changamoto zao ambapo TANTRADE ilifanikisha kuwakutanisha na wataalamu ambao wataweza kitatua changamoto zao, ambapo kama mfanyabiashara anahitaji huduma kutoka BRELA au TRA basi TANTRADE anawaunganisha ili waweze kutatuliwa changamoto zao.


Post a Comment

Previous Post Next Post