MHE.NAPE AKITINGA BUNGENI KUWASILISHA HOTUBA YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.


Na,Saleh Lujuo-Dodoma.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasili Bungeni kuhudhuria Mkutano wa Kumi na Moja, Kikao cha Ishirini na Tisa kinachoendelea Bungeni. Miongoni mwa shughuli za leo ni pamoja na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post