WIZARA YA HABARI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI IMEKABIDHI VITENDEA KAZI KWA BODI YA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

WIZARA YA HABARI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI IMEKABIDHI VITENDEA KAZI KWA BODI YA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

Na,Mwandishi wetu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdullah leo Desemba 29, 2023 amemkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Balozi Adadi Mohammed Rajab pamoja na Makamu Mwenyekiti, wa Tume hiyo, Bi. Fatma Mohammed Ali tayari kwa kuanza kazi rasmi Januari 2024.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali - Mtumba jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post